Job description
Mwalimu wa Physics atahusika kufundisha mtaala wa Physics wa sekondari, kuandaa schemes of work na lesson plans, kufundisha wanafunzi wa viwango na uwezo tofauti, kuandaa wanafunzi kwa mitihani, kutathmini na kurekodi maendeleo yao, kudhibiti nidhamu darasani, kutoa feedback kwa wanafunzi na wazazi, kushirikiana na walimu wengine, pamoja na kushiriki katika shughuli za shule, mafunzo ya kitaaluma na malezi ya wanafunzi.
Requirements & qualifications
Responsibilities
Kufundisha masomo yote ya Secondary Physics. Kuandaa na kufundisha lessons kulingana na mtaala. Kuandaa wanafunzi kwa mitihani na qualifications mbalimbali. Kutathmini, kusahihisha kazi na kutoa feedback. Kufuatilia maendeleo ya kila mwanafunzi. Kusimamia nidhamu na tabia za wanafunzi. Kusaidia wanafunzi wenye changamoto za kitaaluma au binafsi. Kuwasiliana na wazazi kuhusu maendeleo ya watoto. Kushiriki katika school events, outings na activities. Kushirikiana na walimu na teaching assistants. Kushiriki departmental meetings, parents’ evenings na training. Kuendelea kujifunza na kuboresha taaluma kupitia professional development.
Benefits
Professional development kupitia mafunzo ya ndani ya huduma (in-service training). Fursa ya kuendeleza taaluma na kuongeza ujuzi wa kufundisha. Kufanya kazi katika mazingira ya International School yenye exposure ya kimataifa. Ushirikiano na walimu wengine na wataalamu wa elimu. Fursa ya kupata uzoefu wa English/Cambridge na International Baccalaureate (IB) philosophy. Kushiriki katika shughuli mbalimbali za shule na maendeleo ya wanafunzi.
Salary & compensation
Contact information
About chuosmart
Tanzania\'s first platform to combine online education and digital commerce into a single, impactful ecosystem.