Job description
Accountant atahusika na shughuli za kila siku za uhasibu, kutunza kumbukumbu sahihi za kifedha, kuandaa taarifa za fedha, kufanya bank na ledger reconciliations, kushughulikia invoices na malipo ya suppliers, kuandaa journals, accruals na adjustments, kusaidia maandalizi ya tax computations na statutory returns, pamoja na kuhakikisha kampuni inafuata accounting standards, tax requirements, internal controls na policies za kampuni
Requirements & qualifications
Responsibilities
Kurekodi transactions za kila siku kwenye accounting system. Kutunza general ledger na subsidiary ledgers. Kuandaa journals, accruals, prepayments na adjustments. Kushughulikia supplier invoices na payment documentation. Kufanya reconciliation ya customer na supplier accounts. Kufanya bank reconciliation mara kwa mara. Kutunza nyaraka za malipo na receipts. Kusaidia kuandaa financial reports na annual financial statements. Kutoa taarifa na supporting schedules kwa management na auditors. Kusaidia kuandaa tax computations na statutory returns. Kutunza records zinazohusiana na kodi.
Benefits
Benefits
- Full-time employment Uzoefu wa kufanya kazi katika sekta ya Airline & Aviation Fursa ya professional growth katika Accounting & Finance Exposure kwenye financial reporting, taxation na auditing Kufanya kazi katika mazingira ya corporate Kushirikiana na Senior Accountant, management na auditors
Salary & compensation
Contact information
About chuosmart
Tanzania\'s first platform to combine online education and digital commerce into a single, impactful ecosystem.